Makatibu wa afya nchini watakiwa kusimamia nyenzo na rasilimali za kuendeshea huduma za afya zilizopo kwenye maeneo yao ya kazi.

Na Mwandishi wetu Dodoma June 17  2021 Makatibu wa afya nchini wametakiwa kusimamia nyenzo na rasilimali za kuendeshea huduma za afya  zilizopo kwenye maeneo yao ya kazi  kama ilivyo kwenye majukumu yao kwani wao ni kioo na alama ya uendeshaji wa taasisi. “Tunataka mifumo imara ya afya na kuthamini jinsi Serikali ilivyowekeza kwenye mifumo hii ya